Radio Salaam ilianza kupeperusha mawasiliano yake kutoka jijini Mombasa, tarehe kumi na sita Novemba, mwaka wa alfu mbili na sita, saa sita mchana; kipindi cha kwanza kwenda hewani kikiwa Mpasho wa Radio Salaam. Kwa miaka mitatu sasa, Radio Salaam imekubalika na Wapwani kwa habari za kuaminika za kimkoa, kitaifa na kimataifa.
- Location
- Mombasa, Kenya
- Language
- Swahili
- Homepage
- http://www.salaamfm.com/